Habari za Alhamis wapendwa wangu... Mie bado ninakohoa and flue imenibamba ila leo atleast naweza kuhema, thank God maana dawa alizonishauri Dr.Debby zimeanza kufanya kazi!!
Nina ugeni special pia kwangu so am so well taking care of... Hahahaaa, nadekezwajeee sasa! Mmeshawahi kuona mgeni anakuja kwako alafu yeye ndiye anakudekeza mwenyeji?? Sasa mie ndio nadekezwa sasa, guess I am lucky aisee... (Next post mtawaona wageni wangu wanaonidekeza, be here)
And this is my Dr.Debby... Tomorrow is her birthday!!!
we love you Debby akee....
XOXO!!!
Na mimi ntakua mgeni wako soon
ReplyDeleteata mm pia nakutembelea g
ReplyDelete