Happy New-week everybody...
Yaani kiukweli natamani nipate diet ambayo ni rahisi na haitanipelekesha sana maana bado nameza dawa za kifua... Juzi nimeanza ile diet yangu hadi nikawa napatwa na kizunguzungu, natetemeka kabisaa nikikaa na njaa..
Na ninazidi kuwa kibonge hadi sijielewi, nahisi njaa kila mara, sijui ni nini yaani?? Ebu mnisaidie katika hili...natamani tuu kula kula kila saa... Najihisi tofauti mno!!
Sasa kama hapendi au anapenda ninachoandika hiyo haiwahusu?? Inanihusu mimi na yeye so mkome kumuadisia maana na yeye anajua kutumia Internet, hii blog sio facebook account wala insta hadi uweze kum'block mtu.. Anyone can view it muda wowote as long as una internet access.. Sawa eeeh??!!
Once again dears, this is my blog. mine and mineeeee.... So,nita'post chochote nitakachojisikia.. Wewe hupendi ninachoki'post si u'log out tuu kiroho safi jamaniiii, kwanini unapenda kuja huku wakati nakukwaza eeeh??? Ni kama vile unapenda kukwazika basi... Hahahaaaa.... Stop that banaaa, au kama vipi wewe yavumilie tuu kimya kimya!! Usitafute relief kwa Fred (my hubby) maana sio yeye anayeandika hapa, kiruuuu...ni mie mwenyewe ndio ninaandika na sishauriwi wala kuambiwa na mtu kitu cha kuandika hapa.. Yeye nae ni msomaji tuu kama wewe, so naona kama unamuonea ivoo mume wangu, yaani unamchosha!! Hahahahaaa...
Nawapendajeeee..
XOXO!!!
Hahaha bhaaaassssss :-):-) by the way umenogajeee
ReplyDelete