Huu ndio ugeni nilionao... She is my best friend tokea enzi za high school.. Anaitwa Johari, hope mnamkumbuka alitupokea kipindi kileee cha ''road trip'' yetu ya Mbeya eeh, yes..ndio huyu sasa.. Mama'ake Alvin!!
Yeye na Alvin pia wapo in their ''road trip'' pia... I guess we are lucky to have them in our home... Tumefurahi sanaaaa, We love wageni, haswaaa wageni wanaokuja kutudekeza tukiwa tunaumwa hahahahaaaa!! Thank you Johari wangu na Alvin, tunawapenda sana na karibuni tena kwetu!!!
A lady with classy... Muke ya mutu...mamaa'akee Alvin herself!!!
Beautiful mommy!!!
Aaaaawww....
Thanx CocaCola pia for a warm welcome kwa wageni wetu, tulikosa tuu ya Alvin jamaniiii...lol
Alvin filled our home with smile and laughter...
After dinner..mastory yakiendelea.......
Johari and I are Best Friends Forever & My BFF is better than yours... Hahahaaa!!
Nawapenda mno!!!
Nawapenda mno!!!
XOXO!!
I miss her.. love her too.. Msalimie
ReplyDelete