Etiiii, huu umbea na nyie mmeuelewa au??!! Kweli aisee Wema Sepetu anapenda drama, she is a drama queen and that's what makes her perfect!!!
Hahahahaaa... keleuwiiii, sasa ivi sio mambo za ndimu tena... watu wanakula chocklates na ku'sip moet tuu!!!
Madame ndio ivo kashaamua, na hii bila shaka sio ''project'' hahahahaaa... hii ni movie aisee ama ni ile ''reality show'' eeeh??!!
Wema, Ivan & KingLawrence |
Bila shaka huu ugeni wa Wema ni kwa Ivan, maana ingekuwa kwa King Lawrence mbona tungeshajua tokea Wema akiwa airport...hahahaaa, King vile hanaga siri, ila Ivan ndie gentleman so mambo kimya kimya.. Pia King kwenye picha anaonekana yupo na mwanamke wake soooo wakubwa tumeshaelewa ''what goes arroud comes arround''
Na ndio ivyo sasa King kashatuonjesha chocklate kidogoooo!!!
Tuwache movie iendeleeee.....
XOXO!!!
No comments:
Post a Comment