Mmeshayasikia haya....
''Wema Sepetu is officially dating Ivan Don..
Kwa wasiomfahamu IVAN ni ex-husband wa girlfriend wa "kaka" Diamond anaejulikana kama Zari the boss lady…..
Kwa sasa Wema & Ivan hawataki kuweka
relationship yao out there kama kina ''kaka'' na ''wifi'' sababu wao wako pamoja
sababu wanapendana na sio sababu wanataka kushindana na their exes au
sababu they are looking for attention na watakapoona
wamejuana vizuri ndo watayaweka wazi…
Keleuwiiii...
Shikamoo Wema!!!
Tuendelee kusubiria wafahamiane basi ili mambo yawe hadharani.. ama neneee???
XOXO!!!
No comments:
Post a Comment