When I say Eve is an angel yaani namaanisha kabisaa, ni mwema beyond worlds na vitu anavyoweza kukufanyia ni ngumu kwa mwanadamu kumfanyia mwenzake aiseee... Yaani huyu binti ni malaika, ni vile tuu ananikatazaga kuandika vitu anavyofanya, ila ningeviandika hapa nadhani wote mngekubaliana na mimi 100% kuwa her name should change from Eve to Angel...
Dah, endelea tuu kuwa malaika mae, maana we surely in a need of one in our family, and that's you!!
All Eve wanted was to put a smile on Debby's face...
eti apo ndio starter... pizza & juice, uuuuwiiii.... Sorry but tutarudi JKT aisee!!
msosi serious sasa....
Hatareeee.....
Manjonjo yote hayo waliyafanyia hapaaa, ni Indian restaurant...
Eve = Simple lady with pesa ndefu!!!
Etiiii...bata bado linaendelea, hahahaaa.. nasubiriaje picha sasaaaa... hahahahahaaa!!! Ombeni tuu nipewe ruhusa ya ku'post maana Eve sio Gf so anasemaga mashauzi hayawezi.. Hahahaaa!!!
Haya bana tukomesheniiii, yeah...tukomesheni mpaka tukome sie!!!
Izo ni mambo za pesa ndefu eeeh, maana kama budget inaruhusu kwanini usim'spoil umpendae??? Hahahaaa..
Sasa wewe na vihela vyako vya mawazo ukajishaue kusafiri kwenda kum'spoil mtu hahahaaa, utajuuutraaa!!!
Shikamoo Eve, boss mutoto na BossLady pekee ninayekukubali hadi nakoma!!!!
Pamoja na pesa ndefu pia ni real love aiseee... Mchagga mwenzagu uka'have a day off kabsaaa ili ukampe mutoto maraha, dah... thats is LOVE....
And this all makes you two my Valentines!!!
I love you both to the core kabsaa...
Nawapenda sana zaidi ya sana!!!
XOXO...
I just love my family.. they never dissapoint.. love u Debbie n le sis G
ReplyDelete