Kwanza kabisa naomba niwajibu woteeee mlionitumia messages about frames za biashara, jamani nimeshazipangisha zote, immediately tuu nilivyotangazaga kipindi kile nilipata wapangaji yaani walikuwa tuu wananisubiria nimalizie wanilipe... Sasa kama mmeziona kunazo bado zilifungwa mie sijui kwanini hawafungui ila sina wasi maana changu nilishapewa...Naomba msilalamike na msinitumie tena messages about that jamani, siwezi kuwakatalia wakati nataka hela, ni ukweli zimejaa... Asanteni!!
Aya sasa turudi kwenye mambo yetu mengine....
Hiviiii wapendwa, ni mie tuu huwa napatwaga na this awkward moments au na nyie pia???!!! Yaani in my closet kuna nguo ambazo siwezi nikamaliza wiki sijazivaa, tena sometimes nazivaa hata twice a week... Yaani kila ninapowaza nguo ya kuvaa zenyewe tuu ndio zina'pop up fasterr akilini mwangu.... That's reallly awkward moment!!!!
Leo yaani nimejishangaa maana kuna nguo nyingine nimeshazivaa once na sijazirudiaga, tena pia ninazo nyingine sijazivaa nina mwaka na zaidi, na ninazo nyingine ni mpya kabisa lakini kila nikijiandaa tuu akili yangu inawaza nguo zile zileee tuu ambazo kwa wiki nishazivaa hata mara mbili.... Duhhhh!!!! Hii ni kawaida au ni kwangu tuu??? Sijui ndio najifanya nina mapenzi ya dhati na nguo flani flani tuu au???? Mbona najishangaaaa....
Sasa kuanzia leo aisee nitajitahidi nisiwe narudia rudia nguo atleast after two months, ama neneeeee..... Yes, now ni mwendo wa kutokurudia nguo banaaa.... Hata kama zipo chache atleast nizimalize zoooteeee ndio nianze kuzirudia tena,lol Hahahaaa.....
Aya twende kazi, kama na wewe ulikuwa mwenzangu na mie wa kuirudia nguo fulaniiii hata mara mbili in a week jamani ipumzishe sasa iyo nguo... itaongea sasa mweeee!!!
Hata kama una nguo saba basi anza na namba moja hadi saba, ukimaliza ndio uirudie ile namba moja tena..sawa eeeh??!!
Mie leo ndio naanza na my ''jump-suit''.... Hii nilishaivaa only once, na leo ni mara ya pili nimeivaa.... After leo nitaipumzisha then nikimaliza zooooooteee ndio nitairudia tena hii and nikishaivaa for the third time tuu naigawaaaa!!!
Upara..Loading.....
Cant wait kujiona nikiwa na kipara jamaniiii, hahahaaa!! Uuuuwiii...
Aiseee,i must be jocking, upara siutaki hata kwa hela, hahahahaa!!!
Nawapenda hatareee,
XOXO!!
No comments:
Post a Comment