How are you all...Mie nipo pouwa sana...
Najua hiyo heading apo imeshawapa picha ya swagger flani iviii amaizing eeeh???!!! Hahahaaa, you are all right maana leo nipo in swagger ya ki'mamito hatareeeee...
Demin Max-Dress....
That denim-hat nimeshaivaa twice ila kwa nguo nyingine, lakini hii kofia sasa ndio match ya this dress, was two pieces cloth (Kofia & Dress)
Enjoy....
Happy Saturday.....
Nawapenda sana,
XOXO!!
No comments:
Post a Comment