Happy Friday....
Leo is a dotted kind'of a day maana nipo in my polka-dots top... And thank God it's fridayyyyyyyyyyyy.......
Today's top kama sikosei nimeshaivaa twice then nikaiwekaga tuu, and this skirt aiseee sikumbuki hata nimeivaa lini, but nahisi pia nimeshaivaa once, au twice??? It's realy very long time tokea nizivae hizi nguo... I'm thankful leo nimepata tena fursa ya kuzivaa maana nilizimiss hatareee....
#HairBand & Belt... Dope!!
NewBelt...
Na'enjoy sanaaa kuchambua nguo zangu ambazo sijazivaaga muda mrefu, i think nikizimaliza zooteee then i'll surelllyyy need a new closet... Maana sio kwa vurugu hizo ninazopangarua manguo, hahahaaaa...
#Stylish mommy...
I love this combo...
#Polka dots top & plain min-skirt
Alafu nyie mnaosema sijapungua aisee msitake niendeleze dose hadi niwe mifupa mitupu, lol...nimepungua tena sanaaaa tuu and i love this size of my body kwa sasa najitahidi tuu ku'maintain....
Love and only love...
Nice week-end woteee!!
XOXO
No comments:
Post a Comment