Habari za Alhamis....
One of the days ambazo naonaga haziishi ni leo, yaani Thursday zinakuwaga ndefu eeeh??!! Ngoja sasa ifike kesho,duh...masaa yanaendaje faster faster....
My hubby ananiambia huwa natamani sana Friday ifike ndio maana huwa naona Thursday ni ndefu, and kwavile sipendi week'ends iishe so naona Friday inakuwa fupi...Mmmmh, i guess he is right apo maana kiukweli napendaaaa sana Friday, Saturday and Sunday maana for me, those are extremely money-making days while having fun to the fullest!!! Napendaje business with leisure....lol
Since natamani hii siku iishe haraka basi ngoja tupige ma-stor story flani iviii ya kikawaida...
Dhumuni la kuwakumbusha ni ili mkumbuke pia niliwaambia sintaweza kuwa na maid tena, mnakumbuka eeeh??!! Niliapa kuwa sintaweza tena kumpenda wala kumuamini house-maid with my babies.... mmeshakumbuka eeeh??!!
#Tucheze Sankoro Sankoro kama ronaldo... |
From morning kuwaamsha, kuwaandaa for school, breakfast, taking care of nguo zao and school bags Till jioni wanavyorudi from school, doing the home works together, preparing dinner then tulishane, reading the bed-time story books sometimes, saying a prayer ndio walale...
Yaani purukushani zooote zilikuwa under my own control.. Kifupi tuu i'am their kila kitu from mpishi, dobi, mke, mwalimu, pastor, dereva, best-friend, shosti, etc....and most of all i am being their supper-mama!!
It wasn't easy but it worth every hardship niliopitia for that time...
As they say, time heals everthing...
I guess with time nimeweza tena kuwa na ka'upendo kadooogooo to the house-maid.. Yes, nimepata ka-upendo tuu for now ila trust kiukweli bado, bado si'trust kama house-maid can be trusted with my babies...
Mumuombee asini'hurt through my beloved once, maana bora tuu ani'hurt direct mie kama mie nitaona pouwa tuu ila sio kwa that ''weak-point'' of me jamaniiiii... My babies are my everything yaani, wote three of them ndio wanaonifanya niendelee kuwa mimi...without them sijui nitakuwaje ila nahisi hamna hata neno la kuelezea how worseeeee am gonna be without my Fred, Fred and Faith!!
Stay lovely,
XOXO..
No comments:
Post a Comment