Yaani hii kwa sasa ndio habari ya mujini.... Yaani tokea jana jioni huko Instagram na social networks zoteeee habari ndio hii.... #TeamWema hawalaliiii,hahahahaaaa.... #Team'pinzani sasa ndio full vurugu,uuuwiiii!!! Ila tuache masihara aiseee, Dah,Wema anapendwaaaaa na kama ni nyota basi zake zimejaa mawinguni kabsaaa!!!
Alim'support tuu Kiba mara akalamba tuzo sita za kili, nilibaki nimeduwaaa mdomo na macho wazi nikiangalia jinsi Kiba alivyom'buruza ''kaka'' na matuzo yote yakeee,kiruuu!!!!
Aya sasa ni zamu yake, sipati picha mie akianza kujipigia promo... Hahahahaaaa, Singida lazima kinukieeee....

WEMA SEPETU: "Sasa hivi niko singida kwenye maandalizi ya kuchukua fomu kwasababu nagombea ubunge wa viti maalumu mkoa wa singida, kwa hiyo nimekuja huku kuja katika kuhamasisha vijana wajitokeze kujiandikisha kwenye daftari la kupigia kura.
"Nimekuja kujiandikisha huku kwa sababu mama yangu ni mtu wa singida so nimejiandikisha tayari tukutane 15 tena kuja kuchukua fomu kwasababu fomu zinatoka tarehe 14 mwezi wa saba so inshallah tuombe uzima, kampeni zimeshaanza zile ndogo ndogo nashukuru Mungu naendelea vizuri nahitaji support kwa jamii"

Aya sasa madamme ndio kashaanza kulitumia jina lake ivoooo...
Go go go girl...

That's just too lovely,
XOXO...
No comments:
Post a Comment