PUNGUZA MANYAMA UZEMBE....

NO MORE MANYAMA UZEMBE!!!!!!!!
*****KWA DAWA ZA KUPUNGUZA TUMBO NA MANYAMA UZEMBE WASILIANA NA FETTY KWA SIMU NAMBA +255 767 728 764*****
Utatumiwa Popote Ulipo, Just call/ WhatsApp Or Sms +255 767 728 764

Matangazo

Kwa Matangazo Wasiliana Nasi Kwa 0753 891 997

Monday, June 15, 2015

HIPS DONT LIE....

Hellow,
Happy Monday my dears...
Hope mpo pouwa, mie pia nipo fine na namshukuru Mungu for a new week...

Wapendwa, hivi mnajua vitu vingine Mungu anajuaga tuu ampe nani na nani amnyime eeeh???!!! So sometimes inabidi tuu tuwe wapole pale tunaponyimwa vitu vingine, tusivilazimishe jamaniiii, kama vipo vipo tuu na kama havipo aiseeeee utasumbuka sana na kamwe haviwezi kuwepo...

Kwa mfano tuu... Hiviiii Gf mie ndio ningekuwaga na ''shape'' hiviiii...

Wewe unahisi ingekuwaje???? Eti na shape hiyooo ndio niwe mie huyo... Uuuuwiii, dunia ingekuwaje ndogooooo, maana ningei'turn upside down yaani kila kona ukienda ungekuwa unakuta picha zangu ndani ya mapozi ya Agnes Masogange, weeeee...chezea hizo mambo apo...
Hips dont lie....


Oliver akeee mie...

Ila ndio kwanzaaaaa mwenyewe hanaga hata habareeeee... Mutoto mupole, mcheshi, hata tabu na mtu, yeye hata kumpiga tuu picha ni hadi umdanganye danganye weeee ndio akubali... Chaaa!!!
Mungu anajuaga atiiii.....
Wakati sie siku mbili tatu tuu tukipungua ''shape'' ikawa inaonekana kidunchuuu tuu fresh oooh, ni full picha kama dose ya paracetamol...
Dah, Oliver jamani umshukuru Mungu wako sanaaaa, maana wengiii tunatamanije tuwe ivo ila tuu tukianza kunenepa tunaanzaga na matumbo alafu haga linakuwaga la mwishoooo, so no ngumu kuvumilia ''tumbo kupwelepweta'' fasterrr tunakimbilia ''BODY SLEEM'' before hata stage ya hagga kukuwa haijafikia... Kiruuu!!! Ila wewe mutoto mashallah!!! No kitambi ila sasa maeneo ya kati ni sheeeedar!!!





Wallah tena kwa ''shape'' hiyo uki'cross more than two times mbele yangu lazima ninuneeeee....tena ndio nikiwa na ''bae'' uuuwiiii, nanunaaa na bonge la ''mmmxxxiu'' nakupatia!!! Hahahahahaa... #kidding bana #kwani mie naniliiiuu wa kujihisi.com #Gf acha uchokozi jamani!
Nakupendaje sasa....

Thank you for the love and support Oliver wangu, yaani umependeza sana, umekuwa mtamuuuuuu zaidi ya mcharo!!! Sikujua kama this top could look beautiful ivo ikivaliwa aiseee, yaaniii umeitendea haki 100%... Izo leggings mie ndio hoiiii...sijui na ''shape'' pia imechangia??? Mbona umenoga sana aiseee??!!!
Pochi pia ulichagua inayoendana na swagger zako barabaraaa!!!
Weee mjanja....

Nani amenunaaa???!!! Weeee, hanuni mtu hapa..Ama neneee??!!
Na wewe ukitaka kupendeza kama Oliver si wajua where to go eeeh??!!! To the one and only boutique la kijanja mujini... Ama call 0753 891 997 upewe full maelekezo...


Aya sasa tuwe na siku njema,

A very productive week to you all,

God Bless you & Stay lovely,
xoxo!!

No comments:

Post a Comment

NGUVU DRINK

NGUVU = Nguvu Zaidi Ni Spirit Drink INGREDIENTS: Fine spirit, Gin flavour & Ionised water "Not For Sale To Person Under The Age Of 18" P.o.Box 54280, Dar es salaam,Tanzania

NGUVU SPIRIT AVAILABLE AT GF MIN-DEPOT