Finally leo nimeweza tena ku'blog... Hahahaha.. Yaani nilikuwa na huzuni sana about hii issue ila sasa naona inaelekea pazuri!!! Mungu aendelee kumpigania Faiza na Sasha wake..Inshallah!!!
Wa kwanza kuwasha kipaza sauti alikuwa Mbunge Martha Mlata: “Tuna Mbunge mwenzetu amemnyanyasa mwanamke mwenzetu ametumia siku moja Mahakamani kumnyang’anya mtoto wa miaka miwili.. Mbunge huyu anajijua kwa sababu mwanamke huyo anaitwa Faiza.. Faiza arudishiwe mtoto wake”>>>
Mbunge David Kafulila akadakia “Hii nchi ina mihimili mitatu, Bunge, Mahakama na Serikali… Tuheshimu maamuzi ya Mahakama”>>>
Mbunge David Kafulila akadakia “Hii nchi ina mihimili mitatu, Bunge, Mahakama na Serikali… Tuheshimu maamuzi ya Mahakama”>>>
Hahahaaa,alikatishwajeee na Mh.Spika.... Then akamaliza yoooteee waziri wa fedha...Huyu mama jamani nimempenda bureee...kaongea ukweli mtupuuuu...kila mtu ana matatizo yake jamani mbona hatunyang'anywi watoto??? Mmeona kuvaa nusu uchi tuu ndio sababu ya kutokuwa mama bora...Kiruuu!!!
Kwa maelezo zaidi sikiliza iyo video hapo juu...
MAPYA SASA...
Sugu leo amesimama Bungeni na kulitokea Ufafanuzi swala hilo na Mahakama kumpa haki ya kumlea mtoto kutoka kwa Mama yake Mzazi Faiza Ally..
Sugu Amedai yeye alipeleka vielelezo vyote mahakamani kama inavyotakiwa ambavyo ni pamoja na zile picha zilizozagaa mitandaoni zikionyesha mavazi yasio na maadili ambayo alivaa Faiza na Mwisho mahakama kuridhika kuwa kweli na Kumpa Haki ya Kumlea Mtoto..
Sugu Akaendelea kudai kuwa Swala hilo ni la Kifaragha na kifamilia zaidi na ameomba Bunge na Watu wengine kutoendelea kulijadili zaidi...
Sugu Amesema japo mahakama imempa haki ya kumchukua mtoto lakini bado mpaka sasa hajamchukua kupisha majadiliano ya kifamilia zaidi ili kuone hilo tatizo linatatuliwaje...
Mwisho Sugu alipomaliza Kuongea Alionekana Akitokwa na Machozi Usoni Mwake...

Makubwaaaa..Hata akilia bana mtoto bado mdogo akae na mama yake..Period!!!
XOXO!!
No comments:
Post a Comment