PUNGUZA MANYAMA UZEMBE....

NO MORE MANYAMA UZEMBE!!!!!!!!
*****KWA DAWA ZA KUPUNGUZA TUMBO NA MANYAMA UZEMBE WASILIANA NA FETTY KWA SIMU NAMBA +255 767 728 764*****
Utatumiwa Popote Ulipo, Just call/ WhatsApp Or Sms +255 767 728 764

Matangazo

Kwa Matangazo Wasiliana Nasi Kwa 0753 891 997

Tuesday, June 9, 2015

HAHAHAA...SHILOLE BANA!!!

Hey,
Yaani nimepitia tags zote mlizoni'tag Instagram leo ila huku kwa Shilole ndio kiboko yao... Hahahahaahahahahaaaa, uuuuwiiii.... Shilole umenichekesha sana yaani i think i can be you sometimes, bila mkwara mbona watakuzoea... Hahahahahhaaa

Kama na wewe ulikuwa hujaiona hii issue, ipo hiviii...

''Shilole amewatolea uvivu wanawake wanaomshobokea mpenzi wake kwa kuwapa mkwara mzito wa kugawana majengo ya serikali endapo wataendelea na tabia hiyo maana hawajui yeye na Nuh wametoka wapi.

Mkwara huo ni baada ya mwanamke mmoja kujitokeza katika vyombo vya habari na kudai kuwa ana ujauzito wa Nuh Mziwanda, jambo ambalo Mziwanda, alilikanusha na kudai hana mwanamke wa nje zaidi ya Shilole.

Mkwara wenyewe ndio akapost hii picha and akaweka hayo maneno chini yake....

“Kutoka picha ya kwanza mpaka ya pili sio kaz ndogo aiseee haraf nashangaaa videm from no where vinaanza shobo mamaeeeee zenu kama mnatumwa kufitinisha mapenz yetu mmefeli mimi ndo ashangedere na mim ndo shishi mtoto wa Tabora nimezoea kula ugali sio wa chipsi mayai sasa mtu ajifanye anshobo na baby wangu aje nimuoneshe jinsi majengo ya serikali yanavyogawanywa watu! nampenda mpenz wangu ndo maana namsapot”



Nani anataka kugawana majengo ya serikali???!!!
Hahahahaaa...

XOXO!!

No comments:

Post a Comment

NGUVU DRINK

NGUVU = Nguvu Zaidi Ni Spirit Drink INGREDIENTS: Fine spirit, Gin flavour & Ionised water "Not For Sale To Person Under The Age Of 18" P.o.Box 54280, Dar es salaam,Tanzania

NGUVU SPIRIT AVAILABLE AT GF MIN-DEPOT