Habari za Jumapili wapendwa,
Welcome to my blog... If huja'visit here muda mrefu basi sie tupo in a mission ya kutokurudia nguo hadi tumalize kabati zima, yes...tuzivae zooooteeee then ndio tutaanza tena mwanzo, maana kiukweli kuna nguo tulikuwa hatuzitendei haki...kila sikuuu izo izo tuu, jameeeniii!!!
Owky,
Mie leo nipo in my African-print swagger...
Ila sasa nikapata wakati mgumu wa kuchagua nivae ipi maana ninazo nguo mbili za hiki kitenge, same kitenge ila mishono tofauti, alafu sasa zote ni min-skirts, duhhh... Ikabidi nizibebe zote nifunge macho nizirushe juu then nitakayoidaka ndio naivaa, mara ndio nikaidaka hii skirt, mmmmh...nikawa sina ujanja, nikaivaa... I promise soonnnn nitavaa na mwenzake pia, sawa eeh??!!
Back details...
Proudly Muchagga wa Kishumundu....
Sunday flani iviii..... Amaizing!!!
The pose you make when you hear they create a WhatsApp group to discuss you...
Sasa mna'discuss nini wakati kila mmoja anaweza kuja hapa na kujisomea mwenyewe kimya kimya??!!! Hahahaa, umbea bana... ni full rahaaaaa.... Nahisi huko kwa group charts ni full ku'elaborate, ku'explain and ku'add more notes kwa kila ninachokiandika hapa, full kukiongezea mautamu ama neneee???!!! Hahahahahahahaaaaaa, ila mimi mchokozi sometimes,lol... Endeleeni mwaya na group charts zenu eeeh, nyie si ndugu mojaaaa... Hahahahaaaa!!!
#Gf acha uchokozi jamaniiiiii....

Nimeacha uchokozi... #Mutoto mupoleee
Si mnajuaga vile nawa'love...yaani nawa'love too deep mazeee!!!
Blessed Sunday dears!!
XOXO...
umependeza kama kawaida yako
ReplyDelete