Hey dears...
How are you all??!!
I am well and namshukuru Mungu kwa wiki nyingine tena na fursa nyingine tena ya kujikusanyia chapaa...
Hii ndio habari ya mujini sasa... Ni habari nzuri kwa watu wangu wa nguvu, wanaopenda kupendeza!!!
A New Boutique In Mbeya City... Yes, ni ndani ya Jiji la Mbeya.. Ni collaboration ya ''Mama Gf'' na my partner in crime ''Mama K'' wanawake wawili tunaojielewa tumeungana kwa pamoja kuwaletea vitu vya kukufanya utoke bomba!!!
Sio pa kukosa hapa, ipo mtaa wa Sokoni (mjini)
Kuna pamba kali za kike, za kiume na za watoto.. Kuna mazagazaga kibaooo ya kukufanya utoke bomba!!!
Unaanzaje sasa kuacha kupendezaaa???!!!
All my divas in Mbeya and all over, kama vile mlivyokuwa mnaipa support Gf Boutique sasa please karibuni m'show love to our new Boutique... It's new, bado tunaitafutia jina.. Tukipata jina bomba tutawaletea hapa...
Vitu vipo vingiiii, vizuriii sana sana.. Hapa bado tunapanga panga, soon nitawawekea picha zilizotulia zaidi!!
Kama kawaida, mkopo kwa wale watu wangu wa siku zote ni ruhusaaaaaa!!!
Unanicheck tuu kwa 0753 891 997 au unaweza pia wasiliana na my partner ''Mama K'' kwa simu namba 0755 179 613 (Strictly business)
Popote ulipo pia tunakufikishia mzigo wako safe and sound!!
For now tuiite ''CLASSIC BOUTIQUE'' ama niniiii???!!! Maana vinapatikana vitu classsic tuu huku, na wateja wetu wote ni classic tuu.. Hahahahahaaa!!!
Wakati wewe unawaza Gf kasema nini??? Mwenzako nipo busy nasaka pesa!!
Pamba nyepesiiii....
More picha za swagger coming soon!!
Karibuni sana woteee...
My divas in Mbeya, nitakuwepo mujini soon... Nakuja ku'lauch Boutique before Valentine's day so you all better be there, tu'have fun, tubadilishane mawazo na ma'advices pia!!
Couldn't do this all without your support.. Asanteni sana na nawapenda sana sana sanaaa!!!
XOXO...
Out Of Topic!!!
Sasa nyie msiojiamini na yenu mkae tena wote watatu mnijadili na kunitungia maneno wakati mie nipo busy na maendeleo.. hahahaaa!!! Leo kwenye simu mlizonipigia nimekuwa mstaarabu to my level best maana nilikuwa busy na wateja, la sivyo mngefurahi!!!
Simuogopi mtu bali namuheshimu kila mtu, unataka kumchunguza mtu wako please hire a private investigator na sio kunipigia simu kuniuliza upuuzi!!!
Una lako la moyoni ebu litoe kivyako, tena ukiwa unajiamini maana ukilitoa huku unajiweka behind my name kuna siku itaku'cost.. Au ukisema ni mie nimesema unaona masifaaa??? Kuwa siku hizi tumekuwa mashostito??? Nyooooo...
Alafu tusifundishane kuishi... Last time I check, bundle nilinunuliwa na Fred (my hubby) so I post whatever I want... By the way, this is my blog, na facebook na'post kwa page yangu, na insta pia nikiku'tag ujue nakukubali... Sasa wewe wawashwa na nini???
Mtu arudie kunipigia simu kuniuliza u******e... Hahahahaha, nitakuonyesha kuwa mie ni Madam Director!!
Situmiagi mtu kati kufukisha ujumbe, na simtungii mtu uongo maana ni dhambi!!
Mkae kama mnavyokaaga na mmalizane kama mnavyomalizanaga na sio kunitungia mambo ya kunipotezea muda.. Inaeleke mnaniwaza eeeh???!!! Hahahahaha..
Maana hata ungeuliza Iringa nzima ungepata majibu sasa why me???!!! Kiruuu...
Last but not least, leo nimewahifadhi majina yenu ila next time mnaniuliza maswala yenu yasiyo na maendeleo Ooooh, nitawaweka hapa na picha zenu kabisaaa maana hamna haya, watu wazima hovyooo, bora hata huyo mtoto naweza muona hajakua so akikua ataacha, nyie vikongwe ndio msinizoee kabisaaa na mnikome... Mmxiuuu!!!
Hapa sasa my day ended very well...