Siku na tarehe kama ya leo miaka kadhaa iliyopita alizaliwa binti huyu mrembo... Wengi wenu mnamfahamu kwa sura tuu, ila mie namfahamu kwa sura, tabia, uwepo wake katika maisha yangu na mengine meeengiiii mno...
(I post this with deep love, hapa nipo kwenye utulivu wa roho na akili... Nimetulia natafakari uwepo na umuhimu wa Eve katika maisha yangu.. Nitaelezea machache tuu leo, maana nikielezea yote tutakesha alafu hii post itakuwa zaidi ya gazeti au novel kabisaaa)
My twin tuliyepishana miaka,hahahaaaa.. Eve ndiye msiri wangu mie na rafiki yangu wa shida na raha...
She is a friend you can count on anytime no matter what.. A shoulder to cry on and an exellent company in happy moments.
Sasa how could I do that my Eve???!!!! How could I do atleast half of it all???!!! How could I even try to do so?????!!!!
One thing for sure ni kwamba, kwa nguvu na uwezo wangu siwezi kutimiza hata robo ya hayo yote ninayotamani kukufanyia leo.. Ila usiogope my Eve, maana ninaye mtetezi wangu ambaye yu hai, mtetezi wangu ni A Mirracle Working God, yeye aliyekuwepo, aliyepo na atakayekuwepo.. He is Alpha and Omega, Ni Mungu wa kutimiza ahadi... Namuomba yeye (Living God) aonae sirini, anayetambua haja za moyo wako, anayetuwazia mema wakati wote, anayejua leo na kesho yako, akatimize yale yooooteee ambayo I wish for you..
Please dear God, kama kuna atleast one, dear God I mean one and only one good thing I ever did and you surely need to reward me for it, please God naomba reward yangu iyo umpe Eve, mpe all the blessings you plan to give me..
Mungu, katika Malaki 3:10 (Leteni zaka kamili ghalani, ili kiwemo chakula katika nyumba yangu, mkanijaribu kwa njia hiyo, asema BWANA wa majeshi; mjue kama sintawafungulia madirisha ya mbinguni, na kuwamwagieni baraka, hata isiwepo nafasi ya kutosha,au la) Hiyo ndio the only way uliyoturuhusu kukujaribu kwayo.. Leo Mungu nakujaribu, I dare you my Lord, na ninapokujaribu naomba baraka zote ziwe juu ya Eve maana through yeye I've been and I'll continue be blessed more and more!!
Dear God, tena uendelee kum'bariki endlessly, mpe baraka zako in every way possible, mfungulie milango na madirisha ya mbinguni, ummulikie mwanga wako usiku na mchana, awe kwenye kivuli chako wakati wa kiangazi na masika, everything she touches should turn to gold...
Umuongoze kwa kila atua ya miguu yake, utazame kuingia na kutoka kwake, uwe ngao yake shidani na umuepushe na mabalaa ya hii dunia....
Kwa Eve pasiwe na huzuni wala majuto, asiwe na simanzi wala hofu ya lolote.. Awe mwenye furaha, afya njema na utulivu wa moyo siku zote za maisha yake!!!
Baada ya hayo Mungu sasa ninakushukuru, nakushukuru maana naamini yote yameshatimia... Nakushukuru kwa kumpa Eve mwaka mwingine tena... I thank you most because you gonna keep your promisses!!! Thank you so much dear God.
This is a special birthday wishes from me to my lil'sister Eve!!!
Happy Birthday My Darling Eve....
Love you all to limits,
XOXO!!!
Naanzaje sasa kunyamaza kulia na kufuta machozi after reading that novel?? Nikwambie kitu? U are the best sister in the entire world. I love u to the moon n back. ♥♥♥
ReplyDeleteHappy birthday eve
ReplyDeleteif u wr my sisy wld luv to c u in thc side of u eerrr day. G u r swt sisy. Hbd Eve
ReplyDelete