PUNGUZA MANYAMA UZEMBE....

NO MORE MANYAMA UZEMBE!!!!!!!!
*****KWA DAWA ZA KUPUNGUZA TUMBO NA MANYAMA UZEMBE WASILIANA NA FETTY KWA SIMU NAMBA +255 767 728 764*****
Utatumiwa Popote Ulipo, Just call/ WhatsApp Or Sms +255 767 728 764

Matangazo

Kwa Matangazo Wasiliana Nasi Kwa 0753 891 997

Friday, January 23, 2015

VITU FLANI AMAZING.... #OOTD

Dolls...
Thank God it's Friday..
Leo I spent half of my day at GF MIN-DEPOT and another half doing window-shopping.. It was quite an experience. I loved this day!!!
Wish you were all with me all day long... Tuzurure mujini, tushangae mambo mapya ya mji na tu'meet beautiful faces kila kona ya mji... Dah,mjini kuzuriiiiii siwezi rudi kishumundu aiseee!!! Hahahahaa..

Aya sasa baada ya kuona vitu fulani amazing ndio nikarudi zangu Gf Min Depot kusaka chapaa kama kawa kama dawa!! You know (In Le Mutuz voice) sometimes its good kuzurura mjini, maana unapata ideas za mambo kibao amazing!!!

And this was my today's look!!
Red Is My Thing....
 
 Them hair though....






 I love you all...
XOXO!!! 

1 comment:

NGUVU DRINK

NGUVU = Nguvu Zaidi Ni Spirit Drink INGREDIENTS: Fine spirit, Gin flavour & Ionised water "Not For Sale To Person Under The Age Of 18" P.o.Box 54280, Dar es salaam,Tanzania

NGUVU SPIRIT AVAILABLE AT GF MIN-DEPOT