PUNGUZA MANYAMA UZEMBE....

NO MORE MANYAMA UZEMBE!!!!!!!!
*****KWA DAWA ZA KUPUNGUZA TUMBO NA MANYAMA UZEMBE WASILIANA NA FETTY KWA SIMU NAMBA +255 767 728 764*****
Utatumiwa Popote Ulipo, Just call/ WhatsApp Or Sms +255 767 728 764

Matangazo

Kwa Matangazo Wasiliana Nasi Kwa 0753 891 997

Friday, January 16, 2015

''NASEMA NAWE'' BY DIAMOND PLATNUMZ

Dears...
Tusikilize new song la kaka Diamond, ni mambo mpyaaa za mduara na chakacha sasa.. Mie wimbo nimeupenda sana maana unachezeka.. 
Mengine ni maneno tuu ambayo ata kwenye kanga yapo kaka, leo sitaki kabisaaa kumjadili Diamond... Tusikilize tuu wimbo then tutamuongelea next time!!
Before huja'click PLAY please weka ndimu za kutosha pembeniii, hahahahaha.... 

Haaaallllllowwww....




Vionjo nilivyovi'krem..(Nilipoweka nukta nukta bado sijapashika ila kuna maneno yanaendelea eeeh)
Ivi wee haujioni kama unaa kasorooo...............  Aaaah,umezoeaaa kunichezeaaa aaa umezidiii.....................Nasema naweeee *3
Zingifuri zingifuri.........................................
Uso'mila desturi, usojua tongozwa ukakataa??? (Kiruuu)
 mwenzako mie ....mwenye nyota ya umaarufu si kupapasaaa, Mwenzako mimi....mwenye nyota ya umaarufu sio garasa.....

Next time nitakuja na lyrics sahihi, maana kaka ni kama vile anataka kutuzoea.... Hahahaaa!!

XOXO!!

3 comments:

NGUVU DRINK

NGUVU = Nguvu Zaidi Ni Spirit Drink INGREDIENTS: Fine spirit, Gin flavour & Ionised water "Not For Sale To Person Under The Age Of 18" P.o.Box 54280, Dar es salaam,Tanzania

NGUVU SPIRIT AVAILABLE AT GF MIN-DEPOT