My fashionista leo yupo na pozi la mnuno...
Showger'anguu...
Kiruuuu!!!
Akiamua kununa yaani hata ufanye niniii... Ndio ivo yaani!!!
Mnuno pose leo najijuuuu
Na mie ndio nimeamua sasa kukupiga picha soo wewe nuna tuu mamie wangu...bado u mrembo ivo ivo!! Hahahahaaa...
Love you Faith wangu, my best friend, shostito wangu, rafiki yangu wa pekee wa shida na raha!!!
XOXO!!!
My cute Faith
ReplyDelete