Habari zenu wote..
Mie nipo fine, very busy but ''safari mood'' bado inazidi kuongezeka.. Hahahaaaa, natamani kweli kusafiri..
Wish leo nianze kupanga mabegi ready to hit the road ila kuna mambo mambo I still want to take care of, ili nikiwa safarini nisiwe na pressure, ni'enjoy to the maxmum hadi ni'miss tena kuwa busy na kazi.. Ama neneee??!!
Jana I visited my site, I am so very happy for it! All the thanx to my darling hubby kwa kuni'motivate and for the support too.. Picha will be here when it's done, ila kama you are interested ku'rent wasiliana na mie nitakutumia pictures kwa wassap..
Ni frames za maduka, located Kihesa - Iringa, zipo barabarani kabisa (Dodoma-Iringa road) soo if you are interested please anza kufanya booking through my official number 0753 891 997, hapo ndio tutaongea maswala na kodi, when to start and everything!
When Jesus say YES, nobody can say NO.....
mie..
Pose la baridi...
After site visit....
Baada ya site nilienda kufanya mambo ya kijamii pamoja na wa'mama wa Gangilonga... (Hayo mambo ni private zaidi and yanahusisha watu wengi wasiopenda kuwepo hapa so no picha za matukio)
Acheni mie ninayependa kuwepo hapa niendelee kung'ara katika kila post, hahahahahaaa...
That's how my yesterday ended...
Hard Work Pays!!
XOXO..
No comments:
Post a Comment