Miss you guys a lot...
Yaani leo ni full burudani huko Instagram, kaka Diamond kaamua kutufunga vidomo domo vyetu.. Yaanii woooteee kimyaaa!!! Hahahahahaa
Hongera sana wifi Zari, Kaka wewe bado sikupi hongera aiseee,maana hapa uhakika mtoto ni wa wifi, last name yake na age yake imeonekana in that ultrasound sheet ila kaka wewe nitakupa hongera siku tukimuona huyo baby.. hahahahaaa, We cant wait to see you mdogo wao soldiers!!!
Ila kama mimba ni ya kaka, kweli project was soooo serious... Maana Zari after Ivan ameshawa'date masuperstar kibao na hakubeba mimba zao, ila kwa kaka mbona kabeba this soon, heeeee!!!mbona kama ameharakisha sana??!!
Mmmmmhhhh...
Pass more ndimu pleaseee
XOXO!!!
No comments:
Post a Comment