Wema Sepetu amesema baada ya kutokuwa na maelewano kwa muda mrefu na mtangazaji maarufu Bongo, Peniel Mungilwa ‘Penny’, sasa ameamua kumsamehe rasmi kwa heshima ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Namnukuu Wema “Kwa moyo mweupe, nasema nimemsamehe Penny, hata nikikutana naye popote nitasalimiana naye kama kawaida. Nimeamua kuachana na yote, mimi ni binti wa Kiislam na nahitaji sana swaumu yangu ipokelewe vyema kwa Mungu"
Penny & Wema enzi za u'shostito.... |
Maoni Yangu!!!
Kwa faida ya waliosahau hii issue; The shem darling (Chibu Dangote a.k.a Diamond Platnum) awali alikua mpenzi wa Wema while Wema na Penny wakiwa ma'shosti then yakatokea ya kutokea apo....mara shem darling akawa mpenzi na Penny..Hahahahaa.....(chezea sukari ya warembo wewee)
Diamond & Wema |
Diamond & Penny |
Sasa, yakatokea ya kutokea tena mara heeee!!!!watu tukaacha movie iendelee.... Wema na Diamond wakarudiana tena!!!
Mahaba ninyongeee!!! |
What i love!!!
Yaani kitu ninachokipenda kwenye hii issue ni how mama ake Diamond anavyowachukulia wakwe zake...Hahahahaaa... Kweli mwanao ni mwanao tuu hata akiwa jambazi wewe kwako bado mtoto mwema.... Yaani mama yeye kila anayeletwa kwake ni "Sawa baba"
Social media zinatunga vya kutunga lakini wapiiiii, mama yeye na wakwe zake kwa raha zaooo...
Nimeipenda but am not sure if nitaiwezaga na mie...
Penny na mama ake Diamond enzi zao... |
Wema na mama ake Diamond kwa sasa... |
Namalizia iviiii!!!!
Beauty is in the eyes of beholder, mie naona both Wema na Penny ni wadada warembo na wanajielewa....Since love doesnt ask why so siwezi kuwachagulia wawe na nani ila nadhani hawakua na haja ya kuwa na beef between them and uamuzi wao wa kuwa Beef free nauunga mkono 100% ...
Maana apo Diamond ndiye the Bad'Ass'Hole....Sorry shem darling ila ndio ukweli!!!
Big up Wema, Keep your friends close and your 'beef mob' closer madam!!!!! xoxo...
Heheeeiyaa shem darling
ReplyDeletehahhahahahhaa swali ni nani ataolewa?????
ReplyDeleteNimeipenda..umeieka stor kipeke yako
ReplyDelete