Dears!!!
Napenda sana mki'comment in my posts, ila mnanipa kiwewe pale mnapo'comment in anonymous then unaongelea stories ambazo nazitamani nizijue kiundani na mie pia...Hahahaha..(umbea sunnah) So, kwanini usijiamini tuu u'comment na your google account ama use any link ili nikujue wewe mkereketwa mwenzangu nani?? Ama basi muwe mnani'wassap na mimi in 0753 891 997....
(Feeling like am starting a PregDiary) Kidding!!!
|
Mama La Mama!!! |
|
Najiamini hadi Najiogopa.... |
|
Kiruuuu!!! Am i gaining kgs again ama ni hii nguo ya leo??? |
|
Still in diet lakini kama vile sijielewi elewi apo.... |
|
Mmmmh!!! Dear diet please dont do this to meee... |
|
Being serious!!! |
|
XOXO.... |
NB: I dont select comments za kuonekana public, i put NO restrictions on comments so mnaoniwa'ssap eti nabania comments zinazonihusu,SIO KWELI..muangalie vizuri labda mnakosea kuzipost.. Comments zote zinaenda direct to blog na mie naziona tuu kama nyie mnavyoziona..So kama haionekani basi ujue haijafika in blog!!! Thanx...
NIMECHEKA, UNAPENDA UMBEA MPNZ. KUWEKA IDENTITY NI KAZI SANA ILA UMEPENDEZA BALARRRR
ReplyDeleterangi yako imepoa vizuri kama mzazi, ni nn???
ReplyDeleteHahahaaa wewe
ReplyDeletependeza ww mama gf
ReplyDelete