Hadi mseme ''shkamoo G" maana nilipania kujua kufunga scarf last week, na nilijitendea haki...maana the whole week ni bandika bandua tuu.... ninazo 20+ so msiwazee...siwezi zimaliza leo wala kesho... Kama umeona wivu basi na wewe kanunue, ujifunge na upendezeeee....
The very simple way to look expensive = Put On Da Scarf!!!
Madam!!! |
Pink = Hereni+Scarf+Braslet+Kikapu!! |
Iga kama unavyo vya ku'match.... |
Kwa leo naomba tuishie apooo.. Najua kwa wale mliokua mnasubiria matokeo ya Scarf kiu imepungua kidogo..msikonde wala nini maana best are yet to come!!!
Keep it here and you'll never be dissapointed...
If you like anything there, usisite kuniuliza, hata kama havipo @Gf Boutique nitakuelekeza kwa kuvipata...Napenda wote tupendezee na vizuri vyoooote nakula na wenzangu kasoro naniiii tuu!!!
xoxo!!!
umependeza yaani sina ata neno la kukuelezea ww mwanamke
ReplyDelete