As mama ninayejielewa nikaona sio vyema kuwapa nyie tuu maujuzi ya scarf, so i decided kuanza kumfunga Faith wangu nae scarf, lol... ata msitake kuona alivyopendeza in scarf.... Problem sasa hawezi kukaa nayo ata one min kashaitoa, eti anasema it disturb her... Kiruuuu, kagoma ata ku'pose for one pics
Sikukata tamaa...i did my research, nikagundua there is a way ya kumfanya mtoto aanze kuzoea kufunga scarf, na hiyo njia ni kuanza kumvalisha vikoi...Mmmmh!!! did you know kama there are small vikoi for kids?? Tena vi'sweet and cuteeee.....
Kama vipi basi na wewe jielewe, jilipue na mwanao kwa vikoi... Ama hutaki mwanao apende kufunga scarfs??!!
For tshs.25,000/= Only, mwanao anakua bonge la fashionista...
Faith anavyo vitano already...what are you waiting for????!!!
Faith in a Pink kikoi... |
Swaggalicious kid... |
Cutie... |
Lovely!!! |
Mpende mwanao bi'shost.... |
25,000 |
25,000 |
vipo in different colours and styles.......
xoxo!!!
plz naomba kama cha faith, m-pesa si ipo sawa? kiwe ivoivo kama alichovaa
ReplyDeletePinkilicious
ReplyDelete