Am still practicing on kufunga scarf...You just keep it here and you'll see it happening!!! (From kesho hopefull)
Basi leo i got Eve's pics on a scarf pose...
(Asome Eve tuu apa... Damn!!!!Lady, you are my super star!!!) Aya sasa tuendeleeni wote... And nikaona si vizuri nisipo'share na wewe my darling apa...
Basi karibu!!!
My Eve In Scarf pose... Always On Point!!!! |
Them Eyes!!!! |
LV Hand bag available for tshs.60,000/= |
Full ma'designer beibyy... |
Tuishie tuu apo kwa leo maana Mmmmh...this girl...kila picha ye yupo bomba tuu.. Dear diet, please do some wonders na kwangu jamaniii.. Hahahahaaa...Semeni AMEN!!!
Nawapenda wote, yes..ata wewe uliyepaka make'up roho yako pia mi nakupenda!!!
xoxo!!!
Roho mbaya hadi anaipaka make up????aya mamaa gf. Senk uuuu
ReplyDeleteAaaaawwweee
ReplyDeletependeza sana eve akee
ReplyDelete