Duh,mna ''biti'' lol, picha za nyumba zenu mlizonitumia nimeziona...ni nzuri kiukweliiii na i promise you nitazi'post soon... Mliotuma picha moja moja please mniongezee ziwe ata mbili basi, good picture pia na wewe ukiwa unaonekana maana kuna vijitu humu ni vitomaso...
Thanx all mlionizodoa in last post's comments, in wassap and in instamsg... Thanx mlionipongeza pia... Thanx kila mtu... Nawakubali sana, najua without you hamna Gf Boutique wala Gf Min-Depot so i realy appreciate ushirikiano wenu, your support and am praying for you day n night... Mungu aendelee kujaza mahela in your pockets so that tuendelee kupeana support!!
Being serious sasa.... |
Am me...Un'breakable!!! |
Na wewe ni wewe...Tena wewe huwezi kuwa mie ata dunia igeuke iwe pembe tatu, mie pia siwezi kuwa wewe maana am actually much much better than you are, and you know that!!!
Tupo tofauti mpenzi, so ni vyema tukatumia utofauti huo kuishi maisha yetu, ki'vyetuvyetu!!
Message sent, delivered and wacha mashauzi yaendeleee!!! Hahahahaaaa #Cheers!!!
Dont forget that, I love you all!!! xoxo... |
halllooooo... watu kimyaaaa!! chezea my dada ww utalala na mabuti
ReplyDeletemuke halaliiii, mbona patamu apo. sio wenzangu na mie kina bi.wa kati wala bi.wa 3.. aya gf. love u muke wa fredy
ReplyDeleteTena kamayule anaejidai wa dodoma wakati wa dabaga,ovyooo
ReplyDeleteLove u too dadaake
ReplyDeleteumependeza ila umenikwaza hujaeka picha zangu na nilivyochoka kuzipiga usiku, vibaya ivo
ReplyDeleteAma umetufunda.hahaaa
ReplyDelete