It's a nice monday, SabaSaba day, no job and baada ya kula bata la hatareeeee the whole week'end, yaani leo all i wanted ni kulala tuu... BUT, mchaga mie yaani nikiwazaga tuu hela,usingizi unakata..(chezea mchaga wewe)
So,am having a busy day yaani ata sikumbuki kama leo ni siku ya mapumziko..
Lakini all the thanx goes to Eve, yaani she spoil those two little F-babies hadi kweli wakajiona leo ni holiday,nao wakajua leo sabasaba eeeh...
Thanx sana Eve, kwa kuwatoa out F-babies wetu...
(maana their mama ata alishasahau kuwa aliwa'promise kwenda kubembea,lol)
As ussual,mommy yeye anatakaga tuu pics...hahahahaaa...
![]() |
Faith's kam'doll anaitwa Montana...nae hakuachwa..lol |
![]() |
F-Babies @Gentle hills - Iringa |
![]() |
nawa'love love.... |
![]() |
My Fashionista....hakoseagi!!! |
![]() |
Priceless..... |
![]() |
Agape love!!! |
![]() |
My boyfriend.... I adore every single detail apo... |
![]() |
Ayeiyaaaa, pouwa pouwa...... (In his voice) |
![]() | |||
I LAP U..... |
mumeo pia mchaga?? wanao wazuri
ReplyDeleteAaaaawwweee
ReplyDelete