Got a lot of compliments jana nilivyochangamsha my look with a Scarf, hadi nikawa suprized maana i just putted it on like niliitupia tuu...but it fits like nimejipangaaa.. Hahahaaa!!!
Leo sasa i tried kujiwekea another Scarf look, lol..its hard kweli, yaani haikai bomba tena, sijui ni kwa vile nai'plan sana ama ni nini??!! nimerudia rudia kama mara kumi iviii..
Basi nikaona nijifunze how to put on Scarf seriously sasa and i'll be practising it kwa kweli, maana sifa za jana Mmmmmmh.....(i would wake up to them kila siku) jocking!!!
Basi picha chache izooo, na nyie mjifunze kutupia Scurf...
Kwa wale ma'expert msinizodoe maana as i told you....ndio najifunza..Soon mtaona in practise styles zote izo nilizojifunza.. Ata wewe ukipenda iga tuu mwaya
WARNING: Sio lazima kila kitu uige.. Lengo la Scarf ni kukuongezea muonekano bomba, sasa kama wewe huna Scarf inayoeleweka acha tuu kuvaa scarf... Maana unaeza iga ndio ukawa umeharibuuuu!!!
So my darlings, muige kama mnaona Scarf zenu ni bombaaa kama zangu! (nipo serious apo)
Simple way ya kufunga Scarf |
Apa utaonekana Classic and Casual zaidi |
Official Scurf look... |
Ukijifunga ivi yaani you give your swagger more credits...Expensive look!! |
Apo unaegesha tuu...simple look rock!!! |
Fashionistaz in Scarfs...
You all have to buy scarfs, tena in different prints, look and size too!!!NB: Scarf kuwa bomba sio lazima iwe ya designers tuu.. No, Scarf inaweza ikawa bomba in any classic print!!
Nawa'love....xoxo!!!
No comments:
Post a Comment