PUNGUZA MANYAMA UZEMBE....

NO MORE MANYAMA UZEMBE!!!!!!!!
*****KWA DAWA ZA KUPUNGUZA TUMBO NA MANYAMA UZEMBE WASILIANA NA FETTY KWA SIMU NAMBA +255 767 728 764*****
Utatumiwa Popote Ulipo, Just call/ WhatsApp Or Sms +255 767 728 764

Matangazo

Kwa Matangazo Wasiliana Nasi Kwa 0753 891 997

Tuesday, July 22, 2014

JAY Z & BEYONCE ON THE "RUN"

Hi dolls!!
Watching movies is also one of my biggest addiction if you didnt know, dah... napenda movie mie, iwe ya action, horror, love stories, myths, magics, drama, scientific, na series ndio kabisaaaa... yaani ni bora tuu iwe movie,mie napenda... I cant end up a day without kuangalia ata movie moja for real... Apo waeza imagne how many movies nishaangalia eeh?! Must be 10,000+ Hahahaaa...
Leo i came across these two love birds, Jay Z & Beyonce... They are On the run tour, wakitengeneza movie yao ya ''RUN'' 
Naisubiria kwa hamu, since nishaijua story yake kidunchuuu how itakua, i cant wait to see how they put it into action baibyyyyy!!!!
Kama na wewe ni mpenzi wa movies basi the story goes like, Jay Z & Beyonce ni couples wanaoishi maisha ya ma'deal...yaani hawana kazi maalum, wao lolote litakalokuja mbele yao wapo willing to do as long as wana'make madolar.... Wamepiga deals haramu kibao, robbing banks, stealing vitu vya thamani and even killing people hadi ikafika point sasa wanasakwa kila mahali na mapolice, so they cant settle... they are on the run!!!!! Najua tuu hadi apo, so hii sio ya kuikosa aisee.....
Check the trailer ya "RUN"

No comments:

Post a Comment

NGUVU DRINK

NGUVU = Nguvu Zaidi Ni Spirit Drink INGREDIENTS: Fine spirit, Gin flavour & Ionised water "Not For Sale To Person Under The Age Of 18" P.o.Box 54280, Dar es salaam,Tanzania

NGUVU SPIRIT AVAILABLE AT GF MIN-DEPOT