Yeah, game ndio lishaanza hivyo.. Ni mambo za Big Brother Hotshots 2014..
Kama kawaida ya Biggie ni mambo za maburudani, so game lilianza kwa shamrashamra za kutosha, wasanii mbalimbali wali'perform akiwepo our one and only shem darling Diamond Platnum...
Na tumeanza na kismati ni ajeee.. Our dada Laveda ndie Head of house (HoH) "Tanzanian saxophonist Laveda ndiye alikuwa top performer And has earn her spot as the first HoH this season"
Go! Go! Go Laveda..
Audience ndiyo ilipiga kura, na Laveda alipata 85%....
|
I am TeamLaveda baibyyyy...
You also tune DStv channel 197 au 198 for 24/7 coverage of housemates.. Laveda kashapona kikaangoni this week maana kawa HoH, so tunae Idris wetu jamani.. Handsome boy wetu wa ukweli..
I love Idris pia ila I am TeamLaveda so I'll be voting for them both wabaki in the house...
Sasa kwa wale wenzangu na mie wenye mapenzi mema please tuwe serious pale litakapokuja swala zima la kupiga kura eeh???!! Tuwaunge mkono wa'Tanzania wenzetu
Na wale wasiotaka kupiga kura msimu huu kwa chuki zao binafsi, ni bora tuu mkae kimya kama hamna jema la kuonge kuwahusu hawa washiriki wetu... Washafanya yao na yameonekana babuu shurti tuwape sifa zao, wewee hata ukiongea hadi mdomo ugeukie kisogoni walaaaa haisaidiii, bora tuu ujinyamazie na ujikaze kisabuni to vote for them!!!
Ulitaka kwenda wewe??? Hahahaa, Basi umekosa jaribu tena mwakani, na bahati ya mwenzako usiilalie mlango wazi... Ole wake mtu a'comment kwa my fb page au instagram upuuzi about hao hahahaa, si mnajuaga lakini the other part of me.
Nawapenda lakini upendo nitauweka pembeni kwa muda... Hahahaa!!!
XOXO!!!
Unatuchimba biti shogaa lol
ReplyDeletehahahaaaa... amna bana, natoa tuu warning lov
ReplyDelete