Our dada Laveda jana ametolewa kwenye jumba la Big Brother.... Anyway, amejitahidi sana kufika ata hatua hiyo aliyofikia..
Congrats Laveda!!! You did your best mamito...
Sasa jamani tusisahau yule handsome wetu Idris bado yupo ndani ya jumba...tuhakikishe huyu anatutoa kimaso maso.... TeamIdris baibyyyy!!! vote vote vote!!!
xoxo!!!
No comments:
Post a Comment