Kati ya vitu ninavyojisifu siku hizi jamani ni swala zima la diet, yaani nina discpline ya ajabu, and am so proud of myself for that yaani!!!
Thanx to all my friends ambao mnaendelea kunipa new ideas of diets planning... Zote zipo owky but Am still in my ''gabbage juice diet'' .... For me naona hii ndio ina'work better kwa mwili wangu...
I love this body size... Uuuuwiii... In deep love!!!!
Natamani niwe napiga picha kila saa yaani nakoma tuu sina mpiga picha permanent, hahahaaa....
Kwa mbaliiiii najiona nakaribia kupata ''bikin figure'' hahahahaaaa.... Keep waiting, maana mtafurahi wenyewe na roho zenuu... Ngoja tuu nipunguze punguze manyama uzembe nianze piga picha na swimming costumes, hahahahaaaa (Am in my dreams hapa)
Jocks aside, Stay fabulous and forever young with sweet sixteen's bodies!!!
XOXO!!!
Am also proud of u mae
ReplyDelete