Hahahahaaa, hadi na mie natamani birthday yangu ifike jamaniii!!! Mbona hizi mambo zinazidi kunoga hivi??!!
Wema Sepetu mamito umefungua njia, siku hizi kila mtu ataka apewe zawadi ya gari siku yake ya kuzaliwa... Mambo za Cards na maua siku izi sizioni, hahahahaaa... ni mambo za Morrano, BMW, kiruuu hilo la 26m sasa sijui ni naniiiii... hahahahaaa!!!
Shem-darling (Diamond) ivi unajua umewaweka wanaume katika wakati mgumu sanaaa.... Maana mie pia nisipoletewa zawadi ya gari kiruuuuuu, nitarudi kishmundu mae!!!! (Jocking banaa)
Dida sasa ameuthibitishia ulimwengu kuwa amesha'move on na maisha yake with no regrets!!
Hongera mamito, maisha yenyewe mafupi ebu jipe rahaaa... Tena now ndio umeenda kwetuuu kabsaaa... sijui nianze kukuita wifiii???Haloooooo....
Sasa shogaa, sorry... Sasa my wiii ivi now una magari mangapi???? Maana naona unakaribia kufungua yard home kwako... Hahahaaa!!
All in all, I am so very happy for you!!!
Wakati wengine wanasugua gaga na lami, wengine wanawaza gari gani liwe la jumatatu, lipi la tuesday, jumatano ni BMW, alhamis lile la silva, ijumaa bata day ni noah, jumamosi tunapumzika, sunday na utulivu wa 26m.... Kirrrruuuuu!!!!
The World Is Not Fair eeeh???? Big No, The World Is Very Fair... Unavyojishughulisha ndivyo unavyokuwa rewarded...
Bora mie ninayo ata ya wiki wiki.... hahahahaaaa!!! Wiki hiii kitu cha Black mwendo mdundooo, next week ''baby baby nyingiii hadi natokelezea na Munyamaaa wa Blue!!!
Mujini ukizubaa kweli utaishia kuwapungia mikono wenzako wanavyokupita ukisugua gagaa.... Hahahahaaa!! Wengine wanabaki kupiga simu ''jamaniiiii, nimekuona umenipita apa naniliiii, sasa ulitaka asimame kwani wewe trafki''
Work hard and All the Success will come on your way... Mwenye nacho siku zote huongezewa... Sasa unayesubiria kupewa mbona utasubiria hadi uzeeke??!! Tafuta kwanza chako then utaona vinavyotiririka.....
Am not saying all that ili nikukere, walaaaa... lengo langu upate wivu na wewe kesho uwe na zaidi ya hivi!!! Everything is possible under the sun, malengo tuu na bidii ya kazi...na kujitambua pia inahusika!!!
Nani amenunaaaaa???!!!! Hamnaaaaa, wote tunacheka eeeh, peace!!
Love you all,
XOXO!!!
No comments:
Post a Comment