How are you all... Jana sikusahau kuwapa muonekano wa Faith, ni mambo tuu yaliingiliana nikashindwa ku'post her pictures... So, here are they!!!
My little diva in a Max-White dress with a touch of red Plus blue sendoz!!!
Mwwwaaaah!!!!
Aaaaaaw!!!
Mrembo wangu....
My lil'diva....
She is Adorable....
I Love this girl....
Back details.... Stylish!!!
U'leg in a sendoz sasaa.... Perfection!!!
My pretty pretty waoh!!!
This is a Quality mtumba dress for kids.. Very classic & Unique too!!
Fashionista....
I love this pic, hahahaaa... Sasa Faith mamy mbona umafumba macho tena??? Hahahahaaa
She is my beautiful onyinyee.....
My totoo is the best....
A very happy kid.....
My life, My world, My shogaa wa ukweli.....
She got it from auntie Debby.... Hahahahaa!!
Ma'pose sasaa.... Hallllooooo!!!!
Doro Faith.....
Love and too much love....
My love for fashion is so big, I bought this dress like 8months ago lilikuwa kubwa, but nililipenda so nikalitunza hadi sasa ndio limemtosha...hahahaaa!! Yaani nikiipenda nguo and nikiona style yake can live forever hata kama iwe kubwa nainunua naificha hadi imtoshe... Am so crazy!!!
But I only do it for baby girl, they grow faster than baby boys!!
Nawapenda sana!!!
XOXO...
Aaaaawwweee nakupenda Faith wangu hadi nakonda (sijui lini nilikua mnene haha thinking out loud) love u antiiii akee sanaaa
ReplyDeleteFay ni mzuri
ReplyDeletemrembo sana
ReplyDeletemie hako kagauni hoi
ReplyDeletevigauni vizuri g wamfichia mwanao ee. Pendeza fay
ReplyDelete