Hope mpo pouwa... Mie pia nipo oky kabisaa...
Thanx kwa wale wote walionishauri biashara ya ku'mix pale Gf Payment services, zilikuwa nyingi ila I decided to choose Urembo things maana that's what i'll do with love..
Soon and very soon sasa tutakuwa na new business, itakuwa ni special place kwa ajili ya Urembo tuu, bado natafuta jina but for now tuiite tuu "GF-UREMBO" ....
Payments services zinaendelea and Urembo pia unakuja... Patajaajeee sasa!! Thank God...
Hapo tutakuwa na kila aina ya urembo... Picha nazi'upload kama nilivyotumiwa na my supplier, vitakapofika tuu nitawaambia muwahi faster!! sitaki za kusema oooh mbona hii sikuona picha yake maana vitu ni vingi na huyo supplier yupo very busy hawezi kupiga picha vyote... Vikifika nitapiga picha nyingine nyingi zaidi pia so msijali, just mpate uhondo kidogo....
Saa, bangili na braslets
Mikufu na cheni aina zote, hadi za maharusi...
Hereni na Pete za aina zote...
Na hauwezi ku'complete urembo without mafuta so vipodozi vyote pia vitakuwepo from mafuta, mkorogo na creams za kila aina..
Tubes & maji yote.. body lotions, sabuni za kuoga, shaver cream nazo zitakuwepo, dawa za kutoa michirizi na madoa pamoja na dawa za kutoa chunusi...
Kubwa zaidi ni kwambaaaa.... Atakuwepo mshauri wa urembo, so ukija unamueleza unataka uwe vipi na akiona ngozi yako tuu atakushauri utumie nini ili uwe unavyotaka kuwa..
Hahahaa...nitakuwaje Beyonce mie jamani...lol!!!
Pia wanja za aina zote, lipsticks, eye shadows na mascara zitakuwepo... Tutaleta dawa za nywele, shampoo, mafuta ya kukuza nywele na dawa za mba.....
Rasta, wivings na wigs hazitakosekana....
Hairbands na vibanio vya nywele na kofia...
Miwani za kijanja...
Bei zetu ni nafuu mnooo, tunawapenda na kuwajali, so tunataka wote mpendeze... Yaani tutahakikisha tunaleta vitu vya aina zote so wewe ukija hata na 500 lazima upate kitu...
Thanx ''Angel'' kwa kunipa fursa ya biashara nyingine.. Na wewe kama wapenda kuwa wakala wa urembo kwa kampuni ya ''Angel" usisite kuwasiliana na mie kwa 0753 891 997 ili nikuelekeze how you can make money in a very interesting way, ni kama forever living... Easy and simple networking business!!!
We make money even tukiwa tume'relax Miami with a sip of wine!!! Simple like that, watu wanapendeza na tunakula bataaaa!!!
Thank you Jesus, Thank you All...
XOXO!!!
asante mama... unajitahidi hongera gf
ReplyDeletehongera mpnz,kwako tena lazm tuje
ReplyDeleteMchaga wangu
ReplyDelete