PUNGUZA MANYAMA UZEMBE....

NO MORE MANYAMA UZEMBE!!!!!!!!
*****KWA DAWA ZA KUPUNGUZA TUMBO NA MANYAMA UZEMBE WASILIANA NA FETTY KWA SIMU NAMBA +255 767 728 764*****
Utatumiwa Popote Ulipo, Just call/ WhatsApp Or Sms +255 767 728 764

Matangazo

Kwa Matangazo Wasiliana Nasi Kwa 0753 891 997

Tuesday, October 14, 2014

PIC OF THE DAY... BEAUTY WITH BRAIN!!

Hey lovies..
It's Nyerere day.. Spent it effectively kwa kweli, was doing shughuli za jamii leo.. (Wont talk about it leo) 
Back to the picture of the day..... Hii pic nimei'iba in fb page ya Debby Henricus, hahahaa.. 
That's my beautiful ki'portable young sissy.. Our Doctor akiwa KCMC Campus sijui apo..lol
Kweli shule ya U'daktari ni ngumu kwa vilaza tuu, kwa wenye brain zao ni kama wampiga teke chura.. hahahaaa!!
Debby hadi wapata time for pics, and I heard wewe ndio class representative wao... Wata'enjoy ni ajeee... Kumpata CR m'pouwa kama wewe mbona ata mie nakuja ku'apply u'daktari..kidding aisee apo...
Let me give you short history ya Deborah (Academically)...
Primary alisoma Arusha International School, chezea toto ya kishua wewe... O-level St.Clara and high school alisoma Loleza girls.. Yaani shule zote zinaeleweka jamani msitake nianze kuzielezea hapa maana tutakeshaaaaaaa.... She was bright tokea tumboni mwa mamaa (bisha kama una evidence apo) Kubwa kuliko zote ni A-level she was taking PCB and ndio alimaliza juzi tuu form six with flat B's.. Yaani Physics B, Chemistry B na Biology B... Shikamoo mdogo'angu!! 
Hahahahaaa... Sijisifii wala siwarushi roho apo.. nawapa fact na nyie muone wivu mpambane Au muwasisitizewanaowahusu nao wapambane... Kiruu!! Siku nyingine nitaweka na history yangu accademicaly, hahahaaa!!! Weraaa weraaaa...  Mtasubirijeee sasaaa... Msikonde wala nini....
Didnt I say it's a family thing???!!! Beauty with Brain.... Highly Blessed!!
Doctor Deborah!!!

 Ukisikia wivu, Big Brother ni 24/7 so wewe nenda tuu ka'check show..Uje tena kesho maana hapa ni a place to be!!!!

Nawapenda mnoo...
XOXO!!

1 comment:

NGUVU DRINK

NGUVU = Nguvu Zaidi Ni Spirit Drink INGREDIENTS: Fine spirit, Gin flavour & Ionised water "Not For Sale To Person Under The Age Of 18" P.o.Box 54280, Dar es salaam,Tanzania

NGUVU SPIRIT AVAILABLE AT GF MIN-DEPOT