Wale Team Laveda wenzangu please tuendeleeni kumpigia kura Laveda wetu aendelee kubaki kwenye jumba la Big Brother Africa...
Watanzania tupendane na tuache kutafuta tuu kasoro za mtu, nooo... tumpe na support pale anapoonyesha mafanikio ya maisha.. Let's gooo Team Laveda!!!!
Vote Vote Vote.....
Kupiga kura kwa njia ya simu andika neno VOTE kisha tuma kwenda kwenye namba 15426...
Kupiga kura mtandaoni ingia hapa VOTE kisha upige kura mara nyingi uwezavyo!!
Love you all...
XOXO!!!
Atatugaia mtonyo?
ReplyDelete