Hii nimeipata Instagram jamani, hahahaaa... Huu u'busy huu hadi napitwa na habari moto moto.... Hatimaye mob ya Miss Tanzania yatoa tamko rasmi... ''Hawawezi kumvua Sitti Mtemvu taji'' Hahahaaa..
Chezeyaaa!!!
Sitti na taji lake mwenyewe ready kuwapa za uso..Hahahahaaa.. Kiruuu.. leo kifaransa kakiweka pembeni, full lugha ya taifa ili hadi wale mbululazzzz wamuelewe.. Hahahaa!!!
Huyu dada ni noma jamani, yaani ananifurahisha... She wont give up easily, hahahaaa... Kama umekereka basi nitakushoneshea na wewe taji lako nikuvalishe...
Hahahahaaaaa au basi vaa miwani usione gere!!!
Sitti wauweeee!!!! Bonge la Birth Certificate so hata ukivaa miwani lazima ulisome kudadek!!!
Apo ndio kama vile anasema ''Baby say my name...... '' Hallllllllloooowwww!!!!
To Sitti,
Yaani wewe utabaki tuu kuwa Miss Tanzania 2014, na walio na viroho vya kimasikini watabaki kukujadili wakati wee wafanya yako.. Wewe ni mwanamke jasiri and very strong, you'll never give up without a fight... Inaonyesha ni jinsi gani ulivyo fighter, hadi kieleweke mamito, you are always in my prayer!!! Wacha wachonge midomo weeeeee!!!! Wakupe kick mjini tuu, wala usiwajali... wapotezeee mwaya!!!!
Nawapenda,
XOXO!!
No comments:
Post a Comment