Mambo zenu.. Yaani leo nimeamka na tabasamu, these pics of my mamaa and Baraka zimenifanya nitabasamu hadi usingizini... They are so sweeeeeeetyyy.. lol Cant wait my F-Babies nao ndio wakiwa wakubwa wananiletea mjukuu, kiruuuu...
I'll spoil them hadi bhaaasi!!!
Priceless Moments... |
Bibi & Mjukuu time... |
Aaaaw.... natamani!!! |
Dear God,
Nipe na mie umri mrefu nije niwaone watoto wa F-Babies, niwabebe, nipige nao picha..yeuwiii!! Nahisi nitakuwa m'chibonge mara tatu ya mamaa, but God I wouldn't mind.. ni sawa tuu, what important ni niwaone tuu wajukuu zangu.. Cant wait to see me growing old, haaaa!!!! Bibilicous sounds good though.... Amen.
Have a lovely new week,
XOXO!!!
Hahahaaa amen to that
ReplyDelete