Thanx kwa wale waliotoa oda za African Print swaggers... From kesho mtapata products zenu, mkipenda kunitumia pictures nitafurahi zaidi, hahahaa!! (To you mteja usiependa kupiga picha jamani jitahidi, hahahaaa) Thanx sana!!
Back to business and fun sasa... Ni mambo za ki'kwetu kwetu.. African beauty, mambo za vitenge na shanga.. Toa oda yako now kwa 0753 891 997
Bila kusahau kuna Accessories na vipodozi vya aina zote... Mie nimepaka Mac-Powder niwe mzungu kabisaaa sasa, hahahaaa.. Kama pesa inaruhusu ebu jirembe mpenzi, kama huna pesa nyamaza na uone wivu kimya kimya... Yeah,niwe natural kwani mie msitu???!!
Do I love Green??? Hahahahaa... I think so!!! |
In love with this pic... Aaaaw!!! |
Green Eye'shadow... A must have!!! |
Accessories zote hizo zipo...from hereni, braslets hadi chen... |
African print top-dress... Usiku unaweza kuivaa yenyewe and mchana with tait like ivo... |
Mie, myself and I...
Love you all,
XOXO!
XOXO!
Umependeza da g
ReplyDeleteMy dada Luking dope
ReplyDelete