Happy new week to you all.... It's a blue Monday and here I am presenting to you my MCM.. Sio mwingine bali ni my one and only son, his name is Fred, like father like son... He is four years old and he is the most genius kid i've ever met... He is my first crush, my lil'hero and the sweetest bro of all time... ask Faith kama huamini, hahahaa!!
Leo nimejisikia tuu kumueka my son, mara moja moja wont hurt a thing... Ila m'behave, he is a gentleman, he needs no drama!!!
Caring brother...
My stylish boy.....
My Man Crush Monday...
My heartbeats....
Wapenzi, vigezo na masharti kuzingatiwa.. no silly comments kwenye pic of my kids... Huna cha kuandika basi nenda kaangalie Big Brother, sawa eeh?!
Actually kwenye post yoyote ambayo sipo mie sintataka comment ya upuuzi... Kama una stress zako za maisha au nakupa pressure wewe deal na mie but sio na wanaonihusu mie, maana hapa hawaandiki wao, naandika mimi. Uki'comment upupu wako kwenye picha zangu mie nitaona pouwa tuu, tena nita'enjoy mnoooo... ila kama sio kwenye pic yangu haki ya mama nita'deal na wewe parallel and perpendicularly!!
Love you all...
XOXO!!!!
Hahahaaa aya bana... love u my baby Fred ♥♥♥
ReplyDeleteKazuriii
ReplyDeletetotoo ya pamba
ReplyDelete