When I say nawapenda, mjue kweli namaanisha kuwa nawapenda... And wewe kama una sababu zako binafsi za kunichukia, wee jua tuu mie nakupenda..
Na kama eti wamchukia mtu ninayempenda bora tuu uanze kumpenda maana mie bado nakupenda wewe na yeye pia nampenda...
Sijuagi kumchukia mtu, I can hate what you do but not you.. And you all know when I hate what someone do eeeh??!! Hahahaa...
Nishasemamaga hapa mara kibao, shostito wangu jamani ni Faith, nyie wengine tuliokutana ki'mjini mjini tutaachana ki'mjini mjini sasa nikuchukie ili inisaidie nini??? Bora nikupende tuu uje kuniungisha Gf, tu'chart umbea (sunnah haswaaa) then tucheke tuongeze siku za kuishi... Kwa raha na time zetu... Mjini pazuriiii!!!!
What I feel for you guys is love and only love... Maana the whole Gf isingekuwepo without you all... Sasa niwachukie inahusuuu... Aaaku babuu...mie nawapenda wote!!!
Kiss to you, you, you and you too... |
Do I love green??? Dont know...Hahhahaha!!! |
Love you all...
xoxo!!!
Thats my dada
ReplyDelete