Habari za siku mbili tatu.. Mie nipo pouwa kabisa just getting busy and busier kila siku...
Owky, good news ni kwamba jamani Urembo ulifika na watu kibao wameshaupata na kwa sasa zimebaki rasta, wivings and few accessories.. Wasiliana na mie kwa 0753 891 997 ili ujipatie urembo wako...
We operate on Cash basis jamani kwenye urembo no kukopeshana please, ni kwasababu zilizo nje ya uwezo wetu wapenzi, si mnanijuaga huwa siwagi na izo eeh, so ukiona nimegoma kukopesha jua nina sababu serious..
Been busy hata sipati muda wa pictures jamani, but all in all nawapenda and wote mpo in my prayer each and everyday!!
Nisiwaache patupu, basi mpate hata my fashionista's look.... Ali'miss pia kupigwa picha jamaniii.... mommy is too busy!!!
My fashionista Faith!!!
In mnuno'pose...
Cheers!!!
XOXO...
No comments:
Post a Comment